Hlavní navigace

 Siri za Mapenzi 2019 5.0

3

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo
14 ×
- Siri za Mapenzi
- Love secrets
- Mapenzi

MWANZO

Kitanda ni kitu cha maana sana kwenye ndoa. Usipojua siri za kitandani wewe kama mume au mke utakuwa na shida nyingi sana kwenye ndoa yako. Ukiwa na simu yako, tafadhali download App hii ili utunze ndoa yako.

Mwanamke ni, mithili ya mtoto mchanga anahitaji kudekezwa vizuri, usigombane nayeye, usibishane nayeye, usimpige wala kumutusi. Mtunze kama mboni ya jicho lako manake mboni huchafukapo jicho huwa mashakani. Kuongezea mwanamume walisema wahenga kuwa dawa ya mwanamume ni mke, hata Rabana alipomuumba adamu, aliona sio vyema adamu aishi pekee yake akamtunuku mwanamke. Mwanamume anafa kupendwa kuheshimiwa pamoja na kupewa mahaba ili kitandani kuwe na mahaba na raha nyingi, mwanamke zingatai yafuatayo utakayo pata kwenye App hii.

UMUHIMU WA SIRI ZA KITANDANI

Ndoa ni kitu cha maana sana. Ndoa bila tendo sii ndoa kabisa. App hii ina manufa mengi sana kwa wenye ndoa ili waweze kudhumisha ndoa na waishi kwa Amani. Mume ama mke wote wnashiriki tendo la ndoa na App hii itawasiadia sana ili wapendane na waish kwa Amani. App hii pia itasaidia kuzuia mpango wa kando kwenye ndoa na mengine yafuatayo;

- Mahaba kwenye ndoa;
- Upendo Kwenye ndoa;
- Furaha kwenye ndoa;
- Watoto kwenye ndoa;
- Upendo kwenye ndoa;
- Furaha kwenye ndoa;
- Mapenzi kochokocho.

YALIYOMO KWENYE SIRI ZA KITANDANI

- Siri za kitandani;
- Siri za mke kuzingatia;
- Siri za mume kuzingatia;
- Siri za tendo la ndoa;
- Ujuzi wa mapenzi;
- Jinsi ya kupenda;
- Jinsi ya kuvaa;
- Jinsi ya kujitunza;
- Jinsi ya kumbebeleza mke na hata mume;
- Tendo la ndoa kwa watu wilyo koma.
- Maneno matamu kama; Pole/ Samahani, Nimebahatika kuwa nawe, Nimekusamehe, Nipo hapa kwa ajili yako, Nakuamini na kadhalika.

MWISHO

Pata nafasi na usome App hii, tafadhali Rate App hii kwenye Google Play na sambaza kwa wengine ile tuweze kudhumisha ndoa zenye furaha tupu. App hii itakufanya uwe hodhari sana kwenye kitandani na mwenye mahaba tele.
  • Verze programu

    5.0

  • Poslední aktualizace od vývojáře

    12. 7. 2019

  • Počet stažení za měsíc

    0 ×

  • Velikost

    5,3 MB

  • Potřeba instalace:

    Ne

  • Web autora

    Alianda

Zobrazit více
Přejít do Google Play
Zdarma

Sdílet

TIP: Stahují se vám programy pomalu? Změřte si rychlost svého internetového připojení.